Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge katika semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi hao wa Wabunge yanayoendelea katika ofisi Ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 24, 2022, kulia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Zungu (Mb).

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Zungu (Mb), akiongoza semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge yanayoendelea leo katika ofisi Ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 24, 2022, kushoto ni Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb)

Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Ndg. Kadari Singo akiwasilisha mada kuhusu misingi ya uongozi na utawala bora wakati wa semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge yanayoendelea katika ofisi Ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 24, 2022.

Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge wakiwa katika semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi hao wa Bunge yanayoendelea katika ofisi Ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 24, 2022, kuanzia kushoto ni Wabunge wa Viti Maalum, Mhe. Halima Mdee, Mhe. Alice Kaijage na Mhe. Fatma Toufiq





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...