Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akimpatia zawadi Mwenyekiti wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda, Mhe. Dkt. Keefa kiwanuka alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022. Baada ya wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda kufanya mazungumzo na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC)

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb (katikati) katika picha ya pamoja na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ndg. Charles kichere (kulia) na Mwenyekiti wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda, Mhe. Dkt. Keefa kiwanuka leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022. Baada ya wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda kufanya mazungumzo na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC)

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb (katikati aliokaa) katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda pamoja na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC) leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb akizungumza na wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda (kulia) pamoja na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC) leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka akiongoza mazungumzo kati ya wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda pamoja na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma, PIC (wote hawapo kwenye picha) leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma

Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Japhet Hasunga akichangia jambo wakati wa kikao cha pamoja kati ya wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda (kulia) pamoja na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC) leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma
PICHA NA OFISI YA BUNGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...