Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB Deogratius Kwiyukwa (kushoto), akishikana mikono na Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni Notkey Kilewa, wakati wa hafla yakukabidhi msaada wa vifaa vya kuongezea usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupunzikia askari wa kitengo hicho makabidhiano hayo yamefanyika katika kituo kikubwa cha polisi cha Oystebay jijini Dar es Salaam. wengine pichani ni Meneja wa Tanzania Commercial Bank Tawi la Ubungo Abas Juma pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki ubungo Amina Saidi.

:Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB Deogratius Kwiyukwa (kulia), akizungumza wakati wa hafla yakukabidhi msaada wa vifaa vya kuongezea usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupunzikia askari wa kitengo hicho makabidhiano hayo yamefanyika katika kituo kikubwa cha polisi cha Oystebay wengine pichani ni Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni Notkey Kilewa,pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki ubungo Amina Saidi.

Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB Deogratius Kwiyukwa (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni Notkey Kilewa, wakati wa hafla yakukabidhi msaada wa vifaa vya kuongezea usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupunzikia askari wa kitengo hicho makabidhiano hayo yamefanyika katika kituo kikubwa cha polisi cha Oystebay jijini Dar es Salaam. wengine pichani ni Meneja wa Tanzania Commercial Bank Tawi la Ubungo Abas Juma pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki ubungo Amina Saidi.

Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni Notkey Kilewa,akizungumza mara baada ya kupokea mdaa wa vifaa vyakuongezea usalama barabarani pamojana vibanda kumi vya kupunzikia askari kutoka Tanzania Commercial Bank. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB Deogratius Kwiyukwa pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki ubungo Amina Saidi.


Picha ya pamoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...