Wajumbe wa Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Kamati ya Maadili na Kinga ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa katika kikao cha pamoja kilichofanyika leo katika ofisi za Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Wajumbe wa Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Kamati ya Maadili na Kinga ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (wanne kushoto mbele) nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...