Wanawake katika kata mbili za Magege na Liseme katoro njiani geita wameaswa kuwania nafasi katika ngazi mbalimbali katika uchanguzi utafanyika mwezi huu kupitia chama cha mapinduzi ccm ili kuendelea kuweka usawa katika uogozi.
Hayo yamebainishwa na diwani wa viti maalum wa kata ya katoro wakati akishiriki zoezi la upandaji MITI pamojaa na kutembelea wazazi katika zahanati ya liseme .
Bi. Antonia amewaasa wanawake kujitokeza kwa wingi kuwania uongozi katika uchanguzi huo ili kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan
Home
Unlabelled
WANAWAKE WAASWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...