Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, David Cleopa Msuya, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Upanga, jijini Dar es salaam Februari 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Februari 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, David Cleopa Msuya, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Upanga, jijini Dar es salaam Februari 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...