Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akisalimiana Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, nje ya jengo la Utawala
Bungeni jijini Dodoma, Februari 2, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Masasi, Geofrey Mwambe, nje ya jengo la Bunge jijini Dodoma, Februari 2, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, nje ya jengo la Utawala Bungeni jijini Dodoma, Februari 2, 2022. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Handeni, Reuben Kwagilwa na Mbunge wa Mahenge Salim Hasham.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...