Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani Ukanda wa Afrika Mashariki (ILO), Bw. Willington Chibebe (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma, februari 10, 2022.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani Ukanda wa Afrika Mashariki (ILO), Bw. Willington Chibebe (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma, februari 10, 2022.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (katikati) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani Ukanda wa Afrika Mashariki (ILO), Bw. Willington Chibebe (kulia) alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma, Februari 10, 2022. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Jamal Katundu.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani Ukanda wa Afrika Mashariki, Ndg. Willington Chibebe (kushoto) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Jamal Katundu (kulia) katika eneo lililopandwa miti 100 wakati wa maadhimisho ya Miaka 100 ya shirika hilo yaliyofanyika 2019 Jijini Dodoma.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...