Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi (wa kwanza kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba (aliyesimama katikati) akiwa kwenye ziara ya kikazi alipotembelea studio ya TBC 2 iliyopo kwenye Ofisi za Shirika hilo zilizopo jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Februari, 2022

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiwa amekaa mbele ya studio za utangazaji za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo jijini Dar es Salaam leo tarehe 09 Februari, 2022 katika ziara yake ya kikazi kwenye Shirika hilo.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akisikiliza kwa makini maelezo ya utendaji kazi wa studio za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Shirika hilo, Mhandisi Upendo Mbelle katika ziara yake ya kikazi leo tarehe 09 Februari, 2022 kwenye ofisi hizo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba wakiwa pamoja na wafanyakazi wengine kwenye ziara ya Waziri huyo alipotembelea Ofisi na studio za TBC zilizopo jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Februari, 2022

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...