Na.Khadija Seif, Michuzi TV

MSANII wa Bongofleva Kondeboy ahimiza vijana kuiga Mfano wa Tajiri Bakhresa Huku akikumbusha kuwa wimbo wake "Bakhresa" uwe chachu ya kutafuta na kufanya kazi kwa bidii.

Kondeboy ameyasema hayo kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram mara baada ya kuachia ngoma yake mpya "Bakhersa" yenye ujumbe kuhusu Tajiri Bakhersa kuwa ni Moja ya watu anao wakubali kutokana na kuupiga mwingi nje na ndani ya nchi.

Aidha,katika wimbo huo Kondeboy amewakumbusha vijana kutolewa sifa ya pesa na anasa za mjini badala yake waige mfano wa "Bakhresa".

"Kumtazama Bakhresa Kama Mfano wa wazi na Kuanza zikimbilia Ndoto Kubwa Zaidi Nitafarijika Kuona Hakuna Kudharauliana Tunaishi Kwa Heshima Na Usawa, Maisha ya Bakhresa Ni Mfano Bora Wakuigwa Ingawa Sio Lazima Kila Tajiri Aishi Kama Anavyoishi Bakhresa Nimalize Kwakusema Mzee Bakhresa kusikia wimbo huu Haitokuwa Ni Jambo La ajabu Kwake Kwasababu Niliyoyasema Yote anayafanya na Mafanikio Niliyoyataja yote Anayo Na Bila Shaka Haya Ni Machache tuu.

Kondeboy akaingia ndani zaidi Kwa kusema Kama Angetaka Kuimbwa Basi angemlipa Hata (DRAKE) Manaa Uwezo Huwo Bila Shaka Anao binafsi Hana haja Kabisa Ya Mzee Bakhresa kuusikia Wimbo Huu angetaka Hivyo Basi angefanya Utaratibu Wa Kuitafuta Familia Yake Ndugu Jamaa Na Marafiki



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...