Nasikiwa Berya, Msaidizi wa chapa wa benki ya NCBA (kulia) akipokea tuzo ya meneja masoko bora wa mwaka kwa niaba ya Caroline Mbaga, Mkuu wa Masoko, Mawasiliano na Uraia wa NCBA kutoka jukwaa lijulikanalo kama Financial Women Forum.
Unwanaobong David, Mkuu wa usimamizi wa mikopo hatarishi wa benki ya NCBA akipokea tuzo ya Mkuu rasilimali watu wa mwaka kwa niaba ya Zainab Mushi, Mkuu wa rasilimali watu kutoka benki ya NCBA kwenye jukwa la Financial Women Forum.
Unwanaobong David, Mkuu wa usimamizi wa mikopo hatarishi wa benki ya NCBA akishiriki kwenye kongamano la kuadhimisha mchango wa viongozi wanawake sekta ya fedha kwenye jukwaa lijulikanalo kama Financial Women Forum.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...