Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga (katikati) akiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kushoto) mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Njedengwa jijini Dodoma leo Machi 3,2022 kwaajili ya kuzindua Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) lililokua likifanyika katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume. Kulia ni Mdhibiti na Mkaguzi Wakuu wa Hesabu za Serikali Charles Kichere. (Picha na Mroki Mroki – NEC).
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Njedengwa jijini Dodoma leo Machi 3,2022 kwaajili ya kuzindua Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) lililokua likifanyika katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume. Katikati ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles na Kushoto ni Mdhibiti na Mkaguzi Wakuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere. (Picha na Mroki Mroki – NEC).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...