Mkurugenzi wa Rasilimali watu (Human Resources Director) Vodacom Tanzania Plc, Vivienne Penessis akizungumza kwenye mafunzo ya Tehama kwa wanafunzi wa kike wa shule za sekondari mbalimbali nchini yaliyoandaliwa na taasisi ya dLab wenye lengo la kumpa ujuzi mtoto wa kike kupitia  Tehama na kujiajiri mara amalizapo shule.



Wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali za sekondari nchini wakionesha jinsi ya kutengeneza tovuti baada ya kupata mafunzo ya tehama kupitia mpango wa Code like a girl wenye kuwezesha Wasichana kujifunza bunifu mbalimbali kupitia mafunzo ya Tehama yaliyoandaliwa na taasisi ya dLab na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania Plc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...