Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea jezi iliyoandikwa jina lake kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire, Tim Cahilll wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar, Machi 22, 2022. Jezi hiyo ilitolewa kama kumbukumbu ya ziara yake kituoni hapo.



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka Afisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire, Tim Cahilll (kushoto) wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar,


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Mafunzo ya Mpira wa Miguu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire , Daniel Bonanno (kulia) wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar, Machi 22, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...