Baadhi ya wadau wa zao la kahawa mkoani Kagera wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao wakati wa mkutano na wadau wa zao hilo, kwenye ukumbi wa Wanyama uliopo Kayanga, Karagwe, Machi 29, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa zao la kahawa mkoani Kagera katika ukumbi wa Wanyama uliopo Kayanga, Karagwe, Machi 29, 2022. Katikati ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na wa tatu kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Prof. Faustin Kamuzora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Prof. Faustin Kamuzora, alipowasili katika uwanja wa ndege wa Bukoba akielekea Karagwe
kwenye mkutano wa wadau wa zao la kahawa, Machi 29, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...