*Meridianbet Tumekuwekea Odds Bora Kwenye Michezo Hii!
BURUDANI ya soka ipo kwenye michezo ya kimataifa, baadhi ya mataifa yameshafuzu kuchezaKombe la Dunia 2022 huku mengine yakikwama njiani. Wikiendi hii tunaendelea tulipoishia awali, jamvi lako litanogeshwa na Odds Bora za Meridianbet!!

Barani Afrika, Cameroon wataingia uwanjani kuchuana na Algeria. Haya ni mataifa ambayo yanafanya vizuri kwenye soka la Afrika, ni damu mpya kwenye vikosi vya sasa na hivyo, atakayefanikiwa kuipata nafasi ya kwenda Qatar, hakika atakua na kila sababu ya kujivunia. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.25 kwa Cameroon.

Unakumbuka fainali ya AfCon 2021? Naam, ni Misri vs Senegal katika mchezo mwingine wa kuiwania tiketi ya kucheza Kombe la Dunia mwaka huu. Mo Salah atalipiza kisasi kwa Sadio Mane au wasenegali wataendeleza ubabe kwa mafarao wa misri? Usiipoteze nafasi ya kutengeneza faida ndani ya Meridianbet, ifuate Odds ya 2.65 kwa Misri.

Kwenye soka la Amerika ya Kusini, Argentina watawaalika Venezuela katika muendelezo wa kuitengeneza nafasi ya kwenda Qatar. 2021 umekuwa ni mwaka wa neema kwa Argentina baada ya kutwaa taji barani humo ikiwa pia, ni taji la kwanza kwa Lionel Messi akiwa na timu ya Taifa. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.14 kwa Argentina.

Canada nao watakua na kibarua cha kupambana vikali na Jamaica katika mchezo mwingine wa kuisaka tiketi ya kucheza Kombe la Dunia 2022. Huu ni mchezo mwingine unaoweza kukupa faida kubwa, ukichagua kubashiri na Meridianbet. Odds ya 1.26 ipo kwa Canada!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...