
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika matembezi ya mazoezi ya Viungo yalioazia katika viwanja vya Mchangamle na kumalizia katika viwanja vya mpira vya muyuni C Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said(Picha na Ikulu)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...