KE
wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora
Foundation(ZMBF) Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa msaada wa Vyakula na Sheikh
Ahmad Mohamed Al –Falasi Kiongozi wa Taasisi ya Ahmad Mohamed Al –Falasi,ikiwa
ni miongoni mwa vifaa na vyakula vilivyotolewa msaada na Taasisi hiyo kwa ajili ya Wananchi wenye mahitaji maalum,katika
kipindi hichi cha kuelekea mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika
katika Ofisi za (ZMBF) Migombani nje kidogo ya mji wa Zanzibar, .(Picha na
Ikulu)MKE
wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora
Foundation (ZMBF)Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa msaada wa Dawa na Sheikh Ahmad
Mohamed Al –Falasi Kiongozi wa Taasisi ya Ahmad Mohamed Al –Falasi,ikiwa ni
miongoni mwa vifaa na vyakula vilivyotolewa msaada na Taasisi hiyo kwa ajili ya Wananchi wenye mahitaji maalum,katika
kipindi hichi cha kuelekea mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika
katika Ofisi za (ZMBF) Migombani nje kidogo ya mji wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)MKE
wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora
Foundation(ZMBF) Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Kiongozi wa Taasisi ya Ahmad
Mohamed Al Falasi Sheikh.Ahmad Mohamed Al Falasi, baada ya kumalizika kwa hafla
ya kukabidhi msaada wa Vyakula na Vifaa kwa ajili ya Wananchi wenye mahitaji
maalum vilivyotolewa msaada na Taasisi hiyo katika kipindi hichi cha kuelekea mwezi
Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za (ZMBF) Migombani
nje kidogo ya mji wa Zanzibar, .(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...