Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aweka Mawe ya Msingi katika miradi ya Jeshi la Magereza Makao Makuu mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiungua pazia na kuweka Mawe ya Msingi katika miradi ya Jeshi la Magereza Makao Makuu mkoani Dodoma leo tarehe 25 Machi 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua na kuweka Mawe ya Msingi katika miradi ya Jeshi la Magereza Makao Makuu mkoani Dodoma leo tarehe 25 Machi 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP Meja Jenerali Suleiman Mzee mara baada ya kuzindua Nyumba za Makazi ya watumishi wa Jeshi la Magereza zilizopo Veyula Msalato Mkoani Dodoma leo tarehe 25 Machi 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu utendaji kazi wa mashine mbalimbali za Kiwanda cha utengenezaji wa Samani mara baada ya kukizindua kiwanda hicho kilichopo Msalato mkoani Dodoma leo 25 Machi, 2022.













Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Magereza pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka Mawe ya Msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya Jeshi la Magereza Makao Makuu Mkoani Dodoma leo tarehe 25 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP Meja Jenerali Suleiman Mzee wakati wakivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha Samani cha Magereza kilichopo Msalato mkoani Dodoma leo 25 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Meja Jenerali Suleiman Mzee wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa Hospitali ya Jeshi la Magereza Kanda ya kati Dodoma katika eneo la Veyula mkoani Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...