RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akigawa misahafu kwa Waumini wa Dini ya Kiislam iliyotolewa na Taasisi ya Ahmad Mohamed Al –Falasi kwa Waumini wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo leo 25-3-2022.(Picha na Ikulu)



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 25-3-2022.(Picha na Ikulu)



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) aliyekaa katika kiti Sheikh Ahmad Mohamed Al Falasi, Kiongozi wa Taasisi ya Ahmad Mohamed Al Falasi,wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 25-3-2022.(Picha na Ikulu)



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhja Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Imamu wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Sheikh. Ali Yunus Mbwana, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 25-3-2022.(Picha na Ikulu)



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharini “B” Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 25-3-2022.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...