Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika
mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za
Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa
ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE hivi karibuni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE hivi karibuni.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...