![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/2..-scaled.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mke wa Makamu wa Rais Mbonimpaye Mpango, Mke wa Rais wa Zanzibar Mariam Mwinyi pamoja na Wake wa viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuzungumza nao katika hafla fupi iliyofanyika katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani tarehe 08 Machi, 2022
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/3..-scaled.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa Wake wa Viongozi mara baada ya kuzungumza nao katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani tarehe 08 Machi, 2022
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/4-10-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/6-3-scaled.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi katika picha ya kumbukumbu pamoja na Waandaaji wa Filamu ya Kitanzania ya Binti. Seko Shamte wa kwanza (Kushoto) ni Mtayarishaji/Producer wa filamu hiyo pamoja na Godliver Gordian muigizaji mkuu katika Filamu hiyo ambayo inaoneshwa na mtandaao maarufu wa Marekani wa kutazama filamu na vipindi vya runinga kupitia Mtandao (Netflix).
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/7-7-scaled.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha kutoka kwa mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango (kulia) pamoja na mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi katika hafla hiyo ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/8-4-scaled.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango (kulia) pamoja na mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi mara baada ya hafla hiyo fupi ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 08 Machi,2022.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...