Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alitembelea banda la Benki ya Equity lililopo Mlimani City hapo jana kwenye maadhinisho ya Wiki ya Maji ambako alipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bi. Isabela Maganga, namna Benki ya Equity ilivyo mstari wa mbele kuhakikisha inachangia juhudi za serikali katika upatikanaji wa maji safi.
Home
BIASHARA
Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea Banda la Benki ya Equity katika Kilele cha Wiki ya Maji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...