RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Mifuko ya Jamii Tanzania (TSSA) ukingozwa na Mwenyekiti wa (TSSA ) ambae pia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF.Bw. Masha John Mshomba.(kulia kwa Rais) na Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF.Balozi Ali Iddi Siwa, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa (TSSA) ambae pia ni Mkurugenzi Mkuu wa (NSSF) Bw.Masha John Mshomba, baada ya kumaliza mazungumzo yao na Ujumbe wa Viongozi wa Mifuko ya Jamii Tanzania, yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbve wa Viongozi wa Mifuko ya Jamii Tanzania,baada ya kumaliza mazungumzo yao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...