Waumini Mbalimbali wa kanisa katoliki wakishiriki misa ya kwanza katika Kanisa la Hija Parokia ya Mwanjelwa Jimbo kuu Mbeya leo Machi 6, 2022 Jijini humo, ambapo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson alishiriki katika misa hiyo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza mbele ya waumini wakati aliposhiriki misa ya kwanza katika Kanisa la Hija Parokia ya Mwanjelwa Jimbo kuu Mbeya leo Machi 6, 2022
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki misa ya kwanza katika Kanisa la Hija Parokia ya Mwanjelwa Jimbo kuu Mbeya leo Machi 6, 2022. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...