KAMPUNI kinara wa kutengeneza michezo ya kubashiri, Expanse Studio, wataonesha michezo yao mipya na mpango wa maboresho kwenye maonesho ya ICE London 2022 kuanzia Aprili 12-14, watapatikana kwenye banda namba S5-332.
Baada ya miaka miwili, maonesho makubwa ya kibiashara yanarejea.
Safari hii yatakwenda moja kwa moja na ongezeko la potifolio ya sloti za
Expanse ikiwa na
baadhi ya habari njema – mashirikiano na masoko mapya na yanayokua, ongezeko la
ofa za michezo na mifumo ya kipekee.
Wild Icy
Fruits, Circus Fever Deluxe, Titan Roulette ni miongoni mwa michezo inayoongoza kwenye orodha ikichagizwa na
mizunguko ya bure na jakipoti endelevu. Watembeleaji wa banda hili wataweza
kujifunza zaidi kuhusu mipango ya masoko mapya ya H2 2022.
Kuongeza wigo wa wateja ulio na mpangio mzuri, ubunifu na michezo rahisi kucheza, wasiliana na Expanse kupitia anuani ya sales@expanse.studios au tembelea https://expanse.studio/
Tukutane London!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...