
*Mzungungo Mmoja, Umezalisha €152,835. Ushindi Bab-Kubwa.
Kwa muda mrefu sasa, unapoizungumzia Kasino ya
Meridianbet,
unazungumzia Jakipoti za Kasino na
ushindi mkubwa! Kwa mwaka 2022 pekee, mpaka sasa kuna washindi wawili wametusua
ushindi mkubwa!!
Mchezaji mwingine wa Kasino kupitia Meridianbet alijaribu bahati yake kupitia mchezo wa Crazy Time unaotengenezwa na kampuni ya Evolution. Gurudumu lenye
maajabu ya kusaka pesa lilifanya kazi yake na mshindi kuibuka na kiasi kikubwa
cha takribani €152,835!
Mwezi Machi unaendelea kuwa ni mwezi wa ushindi mnono kwenye Kasino ya
Meridianbet, hakika,
sifa yetu ya mabingwa wa dunia na watengenezaji wa jakipoti kubwa, inatendewa
haki!
Mwezi Februari, Kasino ya Meridianbet ilitoa ushindi mkubwa wa jakipoti ya thamani ya €15,616 kupitia Sloti ya Secrets of Alchemy
Mwishoni mwa mwaka 2021, Kasino ya Meridianbet ilitoa jakipoti yenye thamani ya €1,129,692.15 kwenye mchezo wa sloti ya Wild Crusade: Empire Treasures. Huu ni ushindi mkubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye soko la Ulaya.
Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...