Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jaffo (katikati) akiwa kwenye zoezi la upandaji miti katika kampeni ya wasaa wa mazingira (Earth Hour) yenye lengo la kuhamasisha upandaji miti ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, Kampeni hiyo ilifanyika wilayani Kisarawe, taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo ni mdau wa mazingira wameshirikiana na WWF katika kupanda na kusimamia miti wilayani humo. Wa kwanza kushoto ni Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald
Home
HABARI
Vodacom Tanzania Foundation yashirikiana na WWF kuadhimisha wasaa wa mazingira (Earth Hour ) kwa kupanda miti wilayani Kisarawe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...