-Yamwaga zawadi za Shangwe lipo pale pale mjini BabatiWashindi wa promosheni ya Vodacom Shangwe Lipo pale pale, Miraji Zubery (wa pili kushoto) na Faustine Boay (wapili kulia) wakazi wa Babati ambao wamejishindia zawadi ya smart Tv kutoka Vodacom mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao kutoka kwa Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom kanda ya Kaskazini Nathan George (kulia) akishirikiana na Meneja mauzo Nanyaro Kaanankira (wa tatu kushoto) Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika mjini Babati
Meneja Mauzo wa Mkoa wa Manyara, Julieth Makembe (kushoto) akikabidhi zawadi kwa mmoja kati ya washindi waliojishindia simu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...