Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Duarte Pacheco akifungua Kikao cha 33 cha Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022
Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia ni Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakishiriki Kikao cha 33 cha Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022
Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani (IPU), Mhe. Roba Putri akiongoza kikao cha 33 cha Jukwaa hilo katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...