Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Meneja Mauzo wa Kiwanda cha Kuzalisha Maziwa cha Kilimanjaro Fresh Eulalia Marandu (katikati) wakati wa halfa ya uzinduzi wa mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P), wa kwanza kushoto ni Mtumishi wa Kiwanda cha Kilimanjaro Fresh Hilda Halisi. Mradi huo unaratibiwa kwa ushirikiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa mikataba iliyosainiwa ya mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirikiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TADB Frank Nyabundege na kushoto ni Muwakilishi wa Taasisi ya Bill and Melinda Gates Marcella McClatchey, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirkiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki (katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (Kushoto) wakati wa uzinduzi wa mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirikiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...