Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza  wakati alipoongoza kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa, kwenye ukumbi wa Hotel Verde jijini Zanzibar,  Machi 6 , 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Washiriki wa Kikao cha Kamati  Kuu ya Taifa ya Sensa wakimsikiliza mwenyekiti wao, Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, wakati alipofungua  kikao cha kamati hiyo kwenye ukumbi wa wa Hotel Verde jijini Zanzibar,  Machi 6 , 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amani Abeid Karume, alipomtembelea nyumbani kwake, Zanzibar Machi 6, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amani Abeid Karume, alipomtembelea nyumbani kwake, Zanzibar Machi 6, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Abdulla Juma Saadalla Mabodi alipomtembelea nyumbani kwake kumpa pole kufuatia ajali ya ndege iliyomuhusisha mwanaye Arafat Abdallah Sadala iliyotokea wakati ndege hiyo ikikaribia kutua katika Uwanja wa Ndege wa Moroni ikitokea katika kisiwa cha Moheli nchini Comoro, Machi 6 , 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...