Mshindi wa kampeni ya Absa Card Assist, washirika wake na baadhi ya wafanyakazi wa Absa wakishangilia wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa mshindi wa kampeni ya Ligi Kuu ya Uingereza ya ‘Absa Card Assist’ iliyokuwa na lengo la kuhamasisha wateja wa benki hiyo kufanya miamala mingi ya kibenki kwa kutumia kadi. Kampeni hiyo ilifanyika kuanzia tarehe 4 disemba 2021 hadi 31 januari mkwa huu. Katika makabidhiano hayo Dar es Salaam jana, mshindi licha ya kukabidhiwa zawadi mbalimbali yeye pamoja na washirika wake 10 waliandaliwa sherehe fupi huku wakiangalia kupitia luninga moja ya mchezo wa ligi hiyo uliyozikutanisha timu za Arsenal na Manchester United ambapo Arsenal ilishinda kwa mikwaju 3-1.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...