Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Alhajj  Abdulrahman Kinana, amejumuika na viongozi mbalimbali wakiwemo wa dini, wa serikali na Chama, mkoani Arusha, katika futari aliyowaandalia.

Kinana alifutari na wananchi hao leo April 26, 2022 katika Ofisi za CCM Mkoa wa Arusha ambapo miongoni mwa walioshiriki ni Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka na viongozi wengine wa serikali.

Akitoa shukrani kwa niaba ya Alhajj  Kinana, Shaka alisema kitendo cha kujumuika pamoja katika futari hiyo kinaonesha ushirikiano na mshikamano ambao unapaswa kupendekezwa na Watanzania.









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...