
Crazy Time ni mchezo wa kipekee
kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu umejengwa na dhamira ya
kukamilisha ndoto ambazo hudakwa na kinasa ndoto (Dream Catcher).
Usisubiri kusimuliwa kwasababu, mchezo huu utakupa furaha maradufu katika kila
mzunguko.
Sloti ya Crazy
Time unabonasi 4 za kukata na shoka.
Unaweza kurudishiwa dau lako hadi mara 25000 bila kusahau chaguo la RNG yaani
(Random Number Generation) pamoja na Gurudumu la Bahati (Wheel
of fortune) litakalokupa fursa ya kushinda zawadi nyingine nyingi zaidi. Chizika leo na Meridianbet na ushinde
kwa kupitia http://www.meridianbet.co.tz.
Ni
rahisi sana kucheza sloti ya Crazy Time ndani
ya Kasino ya
Mtandaoni ya Meridianbet.
Mchezo huu huchezwa kwenye Gurudumu la bahati ambalo lina sehemu 54, kila sehemu inakuwa na ongezeko la
dau kwa namna tofauti tofauti.
Unachotakiwa
kukifanya kwenye mchezo huu wa kusisimua wa Crazy Time, ni kubashiri wapi gurudumu hili litasimama, kisha, weka
dau lako hapo. Tumia uwanja namba 1, 2,
3, 5, 10 kwenye mchezo mkuu au tumia uwanja wa bashiri za bonasi. Maeneo ya
kushinda bonasi zinazohusiana na michezo ni Cash Hunt, Pachinko, Coin Flip pamoja na Crazy Time.
Cash
Hunt ni
mkusanyiko wa picha ambazo zinahusisha skrini kubwa yenye mazidisho 108 yasiyo
na mpangilo maalumu. Coin Flip ni
mchezo unaohusisha uchaguaji wa “Kichwa
au mwenge” ambapo shilingi yenye
rangi mbili - Nyekundu na Bluu, itakupa fursa ya kuchagua upande gani shilingi
hiyo inaangukia huku kwenye skirini kubwa pakioneshwa thamani hiyo.
Pachinko ni mchezo wa
bonasi ambao unahusisha ukuta wa mazidisho ya thamani ya dau lako. Ina aina 16
za mazidisho ambayo hayo yote yapo kwa ajili ya kukupa faida. Na, ya mwisho ni Crazy
Time yenyewe,
mchezo huu wa bonasi unamuhitaji mchezaji kufungua mlango mwekundu na kuingia
kwenye ulimwengu wa kufikirika wa kuchizika.
Kwenye ulimwengu huo, utakutana na zawadi kede kede ikiwemo pesa za papo hapo. Crazy Time ina sehemu 64, pindi Gurudumu linapozungushwa unatakiwa kuboyeza kitufe chekundu ili kilisimamishe. Kikubwa zaidi, unaweza kujishindia hadi mara 25000 ya dau uliloliweka kupitia bonasi ya Crazy Time. Chizika na kasino ya mtandaoni ya Merianbet na ushinde!!
Meridianbet,
Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...