
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akizungumza na Balozi wa Algeria Nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal leo Aprili 5, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Algeria Nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal leo Aprili 5, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akiagana na Balozi wa Algeria Nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal leo Aprili 5, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Algeria Nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal leo Aprili 5, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...