Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana akiagana na Wanachama wa chama hicho mara baada ya kunzungumza nao na kuwashukuru kwa mapokezi makububwa ya kumkaribisha na kumpongeza tangu ateuliwe kwa nafasi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho hivi karibuni,hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini wa Dar Es Salaam
















Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakishangilia katika hafla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee .









Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Daniel Chongolo akizungumza na wana CCM katika hafla ya kumkaribisha na kumpongeza Makamu mwenyekiti Ndugu Abdulrahman Omar Kinana katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini wa Dar Es Salaam iliyofanyika leo Jumapili Aprili 9, 2022.



Katibu wa NEC Itikadi na Unenezi Taifa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka akielezea mambo kadhaa kabla ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho kuzungumza na wana CCM.





 














Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana akifurahi jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Daniel Chongolo katika hafla ya kumkaribisha Makamu mwenyekiti huyo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini wa Dar Es Salaam 






Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana akisalimiana na wazee wa CCM katika hafla ya kumkaribisha Makamu mwenyekiti huyo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini wa Dar Es Salaam muda huu










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...