Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na
Ali Masoud ‘Kipanya’ (kulia) mara baada ya kutembelea karakana yake ya
Kaypee Motors iliyopo eneo la Shirika la Viwanda Vidogovidogo (SIDO)
Vingunguti, jijini Dar Es Salaam, kujionea gari inayotumia nguvu za
umeme iliyobuniwa na Kipanya, ikiwa gari ya kwanza ya aina hiyo kubuniwa
na Mtanzania.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akisaini kitabu cha wageni katika Karakana ya Kaypee Motors ya Ali Masoud ‘Kipanya’ iliyopo katika eneo la Shirika la Viwanda Vidogovidogo (SIDO) Vingunguti, jijini Dar Es Salaam ambapo alifika hapo kutembelea na kujionea gari inayotumia nguvu za umeme, iliyobuniwa na Kipanya, ikiwa gari ya kwanza ya aina hiyo kubuniwa na Mtanzania.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...