Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida leo Aprili 12 2022 ,katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimsindikiza /akiagana na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, leo Aprili 12 2022 ,katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. (Picha Zote na Fahad Siraji)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...