

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, leo Aprili 13 ,2022 katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, (kushoto) leo Aprili 13 ,2022 katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, (katikati) (wa kwanza kushoto) Ndg Ngemela Lubinga Katibu wa Idara ya Siasa Na Uhusiano wa Kimataifa CCM leo katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimuaga Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, leo April 13 ,2022 katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. (Picha zote na Fahad Siraji)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...