Mawandishi Wetu, Kibiti
Mkazi
wa Kibiti mkoani Pwani, Yasin Yusuph Kingwande, amemshukuru
mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele kwa kumpatia shilingi milioni 30
alizoshinda kutoka kwenye mchezo wa kubashiri matokeo wa michezo
mbalimbali duniani ya Bikosports, baada ya kupachika bao la ushindi
katika mechi yao dhidi ya Azam FC.
Kingwande alibashiri mechi 12
na kuweka mtaji wa sh 500 na kumfanya aguse kilele cha ushindi kwa
kubeti kuanzia mechi tatu na kuvuna hadi asilimia 100 kwa kupitia
*149*89# wakitumia namba ya kampuni 101010 na wale wanaobeti kwa njia ya
mtandao wa www.bikosports.co.tz.
Akizungumzia
ushindi wake huo, Kingwande alisema Mayele ndiye aliyenusuru mkeka wake
kwa kupachika bao la ushindi dhidi ya mpinzani wao Azam katika mchezo
uliokuwa na msisimko wa aina yake akitupia bao katika mechi kubwa,
akibeti kwa kutumia kampuni ya bikosports.
"Huwa naweka mkeka
mara kwa mara kwa kupitia kampuni ya bikosports ambayo kwangu naona ni
rahisi sana kubeti nao, nikiwa na shauku kubwa ya kuvuna fedha jambo
ambalo limefanikiwa kwa kupitia matokeo mazuri ya mechi yangu ya mwisho
kati ya Yanga na Azam FC.
"Watanzania wote hususan wale
wanaopenda kubeti nawaomba watumie kampuni ya Bikosports kwa sababu
hawana longolongo katika uendeshaji wao na huwa na bonansi nzuri kuliko
kampuni zote zinazojua mimi," Alisema Kingwande.
Bikosports ni
mchezo unaochezwa na Watanzania wote hususan wale wenye ndoto za kukuza
uchumi wao ambapo kwa kupitia simu ya mkononi *149*89# au www.bikosports.co.tz wanaweza kucheza na kushinda fedha nyingi kama ilivyokuwa kwa Kingwande.
Mkazi
wa Kibiti, mkoani Pwani, Yasin Kingwande akionyesha shangwe kubwa baada
ya kufanikiwa kugusa kilele cha ushindi wa bikosports kwa kushinda Sh
Milioni 30 za mchezo huo wa kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali
duniani. Mkeka wake ulitiki kwa kubeti mechi 12 tu huku akitumia sh mia
500 kama mtaji wake. Picha na Mpiga wetu.
Mkazi
wa Kibiti mkoani Pwani, Yasin Kingwande katikati akionyesha mtindo wa
ushangiliaji wa mshambuliaji nyota wa Yanga, Fiston Mayele baada ya
kutupia bao muhimu kwenye mechi yao dhidi ya Azam FC na kuufanya mkeka
wake kufanikiwa. Wengine pichani ni marafiki zake. Picha na Mpigapicha
wetu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...