Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotuba ya mapitio ya mwelekeo wa kazi za serikali na makadilio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2022/2023 bungeni Dodoma leo Aprili 6, 2022.
Waziri Mkuu akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete kabla ya kuhutubia
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Buchosa , Erick Shigongo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Nanyamba, Abdalah Chikota
Waziri Mkuu akijadiliana jambo na Mbunge wa Muhambwe Dk Florence Samizi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...