Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (kulia) akipewa maelezo kuhusu bidhaa za simu na vifaa vyake kwenye moja kati ya maduka yenye bidhaa hizo jijini Dar Es Salaam, ikiwa ni sehemu ya ziara ya kutembelea masoko ya kampuni hiyo kwa kanda ya Pwani na Dar es Salaam. Katikati ni mkuu wa mauzo Vodacom wa kanda hiyo, Brigita Shirima

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (kulia) akielezea jambo kwa  Meneja wa intaneti na vifaa wa Vodacom, Samwel Mlole (wa pili kushoto) wakati wa ziara ya kutembelea masoko ya kampuni hiyo kwa kanda ya Pwani na Dar es Salaam. Katikati  ni mkuu wa mauzo wa kanda hiyo, Brigita Shirima


Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (wa pili kulia) akipewa maelezo kuhusu mwenendo wa mauzo sokoni kutoka kwa mkurugenzi wa MM Connect ambaye ni mdau wa Vodacom, Emmanuel Makaki  (kushoto) wakati wa ziara ya kutembelea masoko ya kampuni hiyo kwa kanda ya Pwani na Dar es Salaam. Kulia  ni mkuu wa mauzo Vodacom wa kanda hiyo, Brigita Shirima


 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...