/MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Maalum uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)

RAIS Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishangilia wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Maalumu uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo 1-4-2022 na (kulia kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)


VIONGOZI Wastaafu wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo 1-4-2022.(Picha na Ikulu)
MKe wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Wake wa Viongozi wastaafu wakisoma magazeti ya toleo maalum la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Maalum uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete Jijini Dodoma leo 1-4-2022.(Picha na Ikulu)



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...