Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga kura, kuchagua Viongozi wa Shina namba 1, Tawi la Chamwino, Wilayani Chamwino, Dodoma leo tarehe 30, Aprili 2022.(Picha na Adam H. Mzee).


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga kura, kuchagua Viongozi wa Shina namba 1, Tawi la Chamwino, Wilayani Chamwino, Dodoma leo tarehe 30, Aprili 2022.(Picha na Adam H. Mzee)
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu Daniel Chongolo (kushoto)na Katibu wa NEC Organizesheni Ndugu Moudline Cyrus Castico (kulia) wakishangilia kama ishara ya uchaguzi wa Viongozi kwenda salama katika Shina namba 1, Tawi la Chamwino, Wilayani Chamwino, Dodoma leo tarehe 30, Aprili 2022.(Picha na Adam H. Mzee)



Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kupiga kura na kuchagua Viongozi wa Shina namba 1, Tawi la Chamwino, Wilayani Chamwino, Dodoma leo tarehe 30, Aprili 2022.(Picha na Adam H. Mzee)




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...