RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa hiyo Bi.Ruth Zaipuna (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza mazungumzo yaliofanyika katika
Home
HABARI
RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA BENKI YA NMB UKIONGOZWA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA NMB BI.RUTH ZAIPUNA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...