Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye kukata utepe
kuashiria uzinduzi rasmi wa Nembo ya Sensa ya Watu na Makazi ambapo itaanza
kutumika baada ya kutangaza kuwa Sensa hiyo itafanyika tarehe 23 Agosti 2022
nchi nzima. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini
Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali
kabla ya kuzindua rasmi Nembo ya Sensa ya Watu na Makazi ambayo itaanza
kutumika rasmi, baada ya kutangaza kuwa Sensa hiyo itafanyika tarehe 23 Agosti
2022 nchi nzima. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini
Zanzibar.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan, akikabidhi Nembo ya vyeti maalum kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. John Jingu, kuashiria kumpa Jukumu la kuanza
kazi hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa Nembo
ya Sensa ya Watu na Makazi ambapo Sensa hiyo itafanyika tarehe 23 Agosti 2022
nchi nzima. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini
Zanzibar. Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt. Hessein Ali Mwinyi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan, akikabidhi Nembo ya vyeti maalum kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa
ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Sensa, kuashiria kumpa Jukumu la kuanza
kazi hiyo rasmi wakati wa uzinduzi rasmi
wa Nembo ya Sensa ya Watu na Makazi ambayo itaanza kutumika, baada ya kutangaza
kuwa Sensa hiyo itafanyika tarehe 23 Agosti 2022 nchi nzima. Hafla ya uzinduzi huo
imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...