BOTI Nne na Mashine zake zilizokabidhiwa kwa Wananchi wa Makangale Boti 2 na Kengeja Boti 2,kwa ajili ya Uvuvi na Mashine za Boti 16 zilizotolewa kwa Vikundi vya Uvuvi Kisiwani Pemba,wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba leo 12-4-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Boti na Mashine na Vifaa vya Uvuvi Kiongozi wa Kikundi cha Uvuvi cha Kengeja Bw.Ali Baroo, wakati wa kukabidhi Boti Nne na Mashine za Boti 16 kwa Vikundi vya Uvuvi Pemba , hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Bandari ya Shumba Mjini Wilaya ya Michewene Pemba leo 12-4-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hundi ya Shilingi 192,000,000,Kiongozi wa Kamati ya Wavuvi wa Tumbe Pemba Bw.Omar Hamad Suleiman na (kulia kwake) Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Pemba Bw,Kambi Mustafa Mohammed, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Bandari ya Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba leo 12-4-2022.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...