Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiongoza kikao cha tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo Aprili 11, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Nenelwa Mwihambi,
akiwasilisha taarifa katika kikao cha tume ya Utumishi wa Bunge
kilichofanyika leo Aprili 11, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini
Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan ZunguSpika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson
(Mb), akiongoza kikao cha tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo
Aprili 11, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto
kwake ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu na Katibu wa
Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene (kulia kwake)
Wajumbe wa tume ya Utumishi wa Bunge wakiwa katika kikao cha tume hiyo kilichofanyika leo Aprili 11, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Mbunge wa Mtambwe Mhe. Khalifa Mohamed Issa, Mbunge wa Mlalo, Mhe. Rashid Shangazi na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu na Mbunge wa Kibakwe, Mhe. George Simbachawene
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...