Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifungua Mafunzo wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa juu ya kuchafuka kwa Mto Mara na Hatua zilizochukuliwa leo Aprili 5, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bunge Jijini Dodoma. Taarifa hiyo imewasilishwa na Kamati Maalum iliyoundwa na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Seleman Jaffo. Kushoto ni Waziri Seleman Jaffo na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifungua Mafunzo wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa juu ya kuchafuka kwa Mto Mara na Hatua zilizochukuliwa leo Aprili 5, 2022 mbele ya Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Seleman Jaffo na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile


Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakishiriki Mafunzo wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa juu ya kuchafuka kwa Mto Mara na Hatua zilizochukuliwa leo Aprili 5, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bunge Jijini Dodoma. Taarifa hiyo imewasilishwa na Kamati Maalum iliyoundwa na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Seleman Jaffo
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...